Wednesday, October 23, 2013

Kukua KIROHO!

*JINSI YA KUKUA *KATIKA ROHO* 1.ZUNGUMZA NA MUNGU KWA MAOMBI. [YOHANA 15:7] 2.SOMANENO LA MUNGU. [MATENDO 17:11] 3.UWEMWAMINIFU KWA MUNGU. [yohana 14:21] 4.MSHUHUDIE KRISTO KWA MATENDO YAKO NA MANENO YAKO. [MATHAYO4:19] [YOHANA 15:8] 5.UMTUMAINI MUNGU KWA KILA JAMBO KATIKA MAISHA YAKO. [1PETRO5:7] 6.UMRUHUSU ROHO MTAKATHFU AKUTAWALE. [WGLATIA5:1618] [MATENDO 1:8] 7.KWENDA KANISANI KUSALI. [EBRANIA10:25] Nakuomba umwombe MUNGU akupe roho mtakatifu ujumbe huu uwe tofauti na jumbe zote ulizo wahi kupokea na hatimaye MUNGU Akupe roho ya kuweza kufafanua na kuyaelewa maandiko haya uliyosoma. Jiepushe na ufafanuzi wa kibinadamu katika maneno ya MUNGU mwite muweza wa waza jemedari wa majemedari kiongozi wa viongozi mwalimu wa walimu ambaye ni JEHOVA akufundishe kuya fichua ya sirini na ya gizani! Usimwache roho mtakatifu akakutoka maana wewe ni hekalu lake! *MWITE ATAITIKA,MUOMBE YEYE ATAKUPA,BISHA HODI ATAKUFUNGULIA [HAKIKA CHAGUO NI LAKO TUNZA UAMINIFU KWA MUNGU WAKO ATAKUSHINDIA] Amen

Sunday, October 20, 2013

Nguvu za giza na miujiza

Popo hupenda kutembelea watumishi wa Mungu haswa kwa kupitia njia ya kimwili. Watumishi wengi huangukia katika swala la uzinzi na waumini na ukiona hivyo unakuta aliye ingia katika swala la uzinzi ni mtumishi maarufu sana! Umefika muda mwafaka wa kupiga magoti na kumwomba Mungu ili shetani asipate njia ya kupenya na kukutana na watumishi wa Mungu! Lazima tuweke ukuta baina ya shetani na watumishi wa MUNGU! Wakristo fumbua macho ya kiroho mpate kutambua mipango ya shetani katika ulimwengu wa roho! Mwite yesu akuokoe,akukomboe na kukusafisha katika maisha yako na utakatifu wako! 0683903106

MAOMBI YAKO MAJIBU YAKO MAFANIKIO YAKO!

Ukitaka kumuomba MUNGU Mafanikio yotokee katika maisha yako ni lazima uanzapo uanze na toba! Tubu kwa Mungu kabla ya kuanza maombi uombayo! Kila unapo hitaji kufanya maombi nenda mbele za Mungu ukiwa na hoja nzito na za uhakika! Kuwa na imani katika maombi yako! Muombe roho mtakatifu akufundishe jinsi ya kuomba!

Friday, October 4, 2013

NGUVU YA MUNGU UKIWA TAYARI UMEMWAMINI

Mungu ni mwenye nguvu! Mungu ni muweza! Mungu ni mtakatifu! Mungu ni mponyaji! Mungu ni jibu! Mungu ni kimbilio! Mungu ni alfa na omega! Mungu ni njia! Mungu ni mtetezi! Mungu ni tegemeo! Mungu ni mwenye huruma! Mungu hujibu maombi! Mungu ni mwaminifu! Mungu ni mtakatifu! Mungu hubariki! Mungu husamehe! Mungu ni muunganishi! Mungu ni hakimu! Mungu ukitubu husamehe dhambi! MUHESHIMU MUNGU UPATE KUUKULIA WOKOVU KIROHO PIA KIMWILI.UKIMJUA VEMA MUNGU WACHAWI WASHIRIKINA HAWANA MAMLAKA KWAKO UTAKAPO KANYAGA HAKIKA MUNGU AMETUAKIKISHIA NI PETU! FUNGA NA KUOMBA UPATE UELEWA KUHUSU MUNGU VILE ATENDAVYO KAZI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO! HAKIKA UTAPATA MAFANIKIO USIYO TARAJIA KIBINADAMU. Mwanini MUNGU SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO KUNA FAIDA NA WALE WALIO INGIA KATIKA UWEPO WA MUNGU WAMESHUHUDIA! Ameni!!!