Sunday, October 20, 2013

MAOMBI YAKO MAJIBU YAKO MAFANIKIO YAKO!

Ukitaka kumuomba MUNGU Mafanikio yotokee katika maisha yako ni lazima uanzapo uanze na toba! Tubu kwa Mungu kabla ya kuanza maombi uombayo! Kila unapo hitaji kufanya maombi nenda mbele za Mungu ukiwa na hoja nzito na za uhakika! Kuwa na imani katika maombi yako! Muombe roho mtakatifu akufundishe jinsi ya kuomba!

No comments:

Post a Comment