NGUVU YA USHINDI NDANI YA YESU KRISTO NI UJASIRI MKUBWA WA KUTENDA KWA USHINDI NA KUINUA BENDERA YA WOKOVU.
Sunday, October 20, 2013
Nguvu za giza na miujiza
Popo hupenda kutembelea watumishi wa Mungu haswa kwa kupitia njia ya kimwili. Watumishi wengi huangukia katika swala la uzinzi na waumini na ukiona hivyo unakuta aliye ingia katika swala la uzinzi ni mtumishi maarufu sana! Umefika muda mwafaka wa kupiga magoti na kumwomba Mungu ili shetani asipate njia ya kupenya na kukutana na watumishi wa Mungu! Lazima tuweke ukuta baina ya shetani na watumishi wa MUNGU! Wakristo fumbua macho ya kiroho mpate kutambua mipango ya shetani katika ulimwengu wa roho! Mwite yesu akuokoe,akukomboe na kukusafisha katika maisha yako na utakatifu wako!
0683903106
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment